BMF

Please wait...

About the portal

Kuhusu Mfumo

Niambie Resource Centre inaendeshwa na Taasisi ya Benjamin Mkapa ikiwa na lengo la kuchambua na kushirikisha utendaji kazi wa watumishi wa afya kitaifa kulingana na ripoti mbali mbali za kitaifa na za miradi katika viashiria maalum vya utoaji huduma za  afya ikiwa ni pamoja na huduma za VVU/UKIMWI na Afya Uzazi, mama na mtoto  kama ushahidi wa utoaji maamuzi kwa wadau mbalimbali ili kuimarisha upatikanaji, ubora na ufikiaji wa watu wote katika huduma za afya. Mfumo huu umetengenezwa kama sehemu ya shughuli za COMPASS, na umefadhiliwa na AVAC. 

Niambie Resource Centre (Niambie’ is a swahili word meaning ‘Tell me’) is run by Benjamin Mkapa Foundation (BMF) with an aim of analyzing and sharing national status on HRH and service delivery specific indicators including HIV/AIDS and RMNCH as per national released reports and other program implementation reports and updates to the key stakeholders for evidence-based decision making toward improved access, quality and coverage of health services. Niambie resource Centre was developed as part of COMPASS Africa and funded by AVAC.


Our Partner

Wadau

Visitor Counter per Page

Kurasa zetu zilizotembelewa

Today Leo 0

Yesterday Jana 65

This Week Wiki hii 322

This Month Mwezi huu 1,507

All days Jumla 17,411